Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti Magonjwa
ya Binadamu Dk. Mwale Malecela pichani kabla ya kuingia katika chumba
cha habari katika Redio ya Mwambao iliyopo Tanga eneo la Kange ndani ya
Kiwanda cha Tanga Fresh ambaye ni mtoto wa Makamu wa zamani wa Chama cha
Mapinduzi (CCM) John Malecela ni miongoni mwa wana CCM ambao
wamejitosa kugombea urais kupitia CCM. Dk. Mwale katika maisha yake
mengi kwa zaidi ya miaka20 amekua mtumishu katika Taasisi ya Taifa ya
Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) ambako alianza kazi akiwa kijana
na akapanda hadi kuwa mtafiti mkuu na baadaye akateuliwa kuwa
Mkurugenzi Mkuu, licha ya kukulia katika familia ya mwanasiasa (PICHA NA
KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa UJIJIRAHAA BLOG. |
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.