Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania, Dtk Jakaya Mrisho Kikwete amewaaga Wakuu wa Nchi na Viongozi wa Umoja wa Africa kwa kutumia Lugha ya Kiswahili.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
0 comments:
Post a Comment