ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, June 22, 2015

NGELEJA APATA WADHAMINI WILAYA YA NYAMAGANA MKOANI MWANZA.

Mbunge wa Sengerema William Ngeleja (katikati) akipokea orodha ya majina ya wadhamini waliojitokeza katika wilaya ya Nyamagana kutoka kwa Katibu wa wilaya ya Nyamagana Elias Mpanda ikiwa ni kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.
"Mimi ni sehemu ya watanzania waadilifu wanaojali Mila, Desturi na Utamaduni wa Taifa letu swali lililo ulizwa lilishajibiwa na serikali yetu, na katika mazingira tuliyonayo mchakato huu hautusabaishi kutengena, hatuji kuanza moja. Tunakwenda kuendeleza yale yote mazuri yaliyofanywa na serikali ya awamu zilizotangulia" Kisha akaendelea.

"Moja kati ya masuala makubwa ambayo serikali ya Chama |Cha Mapinduzi iliyatolea msimamo ni masuala ya 'Ushoga', kwa hiyo sisi tutaendeleza msimamo huo huo wa kupiga vita masuala hayo ambayo ni ya kiuuzi na yakishenzi ambayo hayakubaliki katika jamii yetu" ZAIDI BOFYA PLAY.
Mbunge wa Sengerema William Ngeleja (katikati) akionyesha karatari yenye orodha ya majina ya wadhamini waliojitokeza katika wilaya ya Nyamagana ikiwa ni kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.
Sehemu ya wananchi pamoja na wanachama wa CCM waliofika kwenye viwanja vya Ghand  Hall Nyamagana jijini Mwanza Juni 20.2015, kwa ajili ya kumdhamini ili aweze kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho.

Makamanda mstari wa mbele.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.