Naibu Waziri ,Mgimwa akizungumza na mmoja wa wafanyakazi wa kampuni ya utalii ya Zara tour |
Naibu Waziri ,Mgimwa akinywa kahawa alipotembelea banda la kampuni ya ndege ya Ethiopian Airlines. |
Waoneshaji wengine walibuni mbinu zaidi wakiwatumia wafugaji jamii ya maasai katika maonesho hayo. |
Naibu waziri wa utalii Zanzibar Bi Hindi akipokea zawadi toka Kibo Palace. |
Manaibu waziri wa utalii,Tanzania bara na Zanzibar,Mgimwa na Bi Hindi wakiwa katika picha ya pamoja na wakurugenzi wa Kilifair Dominic Shoo na Tom. |
Mkurugenzi wa kampuni ya Kilifair ambao ndio waandaji wamaonesho hayo ,Dominic Shoo akizungumza wakati wa ufunguzi wa maonesho hayo . |
Baadhi ya wageni waliofika kwa ajili ya maonesho hayo. |
Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja. |
Naibu waziri Mgimwa akiteta jambo nammoja wa wakurugenzi wa kampunu ya Kilifair Dominic Shoo. |
Kikundi cha burudani toka nchini Kenya kikitoa burudani katika maonesho hayo. |
Baadhi ya mabanda yaliyopo ndani ya viwanja
vya Moshi Club yakionesha bidhaa na huduma zitolewazo na kampuni
mbalimbali za utalii. Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.