ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, June 7, 2015

GULIO LA KITEKNOLOJIA.

Afisa uhusiano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Gulio la Airtel na Huawei Smartphone lililofanyika Mlimani City wikiendi hii. Gulio linalomuwezesha mteja kujishindia zawadi mbali mbali pale anaponunua simu ya Huawei.Gulio hili lilianza Ijumaa, Jumamosi na Jumapili na litaendelea wiki ijayo siku ya Ijumaa, Jumamosi na Jumapili pale Kibo Complex Tegeta.
Baadhi ya Wateja waliofika katika Gulio la Airtel na Huawei Smartphone wakipewa maelezo kuhusiana na OFA kababe inayotolewa na Kampuni ya simu ya Airtel na Huawei katika banda la Mlimani City jijini Dar Es Salaam .Gulio linalomuwezesha mteja kujishindia zawadi mbali mbali pale anaponunua simu ya Huawei. 

Mmoja wa Wateja wa Airtel waliofika katika Gulio la Airtel na Huawei Smartphone Bw. Stephen Temu akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na OFA kababe iliyotolewa na Airtel mwishoni mwa wiki hii pale Mlimani City.
Mmoja wa Wateja wa Airtel waliofika katika Gulio la Airtel na Huawei Smartphone Bi. Irene Joseph akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na OFA kababe iliyotolewa na Airtel mwishoni mwa wiki hii pale Mlimani City. Gulio linalomuwezesha mteja kujishindia zawadi mbali mbali pale anaponunua simu ya Huawei.Gulio hili lilianza Ijumaa, Jumamosi na Jumapili na litakaloendelea wiki ijayo siku ya Ijumaa, Jumamosi na Jumapili pale Kibo Complex Tegeta.
Meneja masoko wa Huawei, Bi Lydia Wangari (kushoto) na Afisa Uhusiano wa Airtel Dangio Kaniki wakionyesha baadhi ya simu zinazouzwa katika Gulio la Airtel na Huawei Smartphone. Gulio hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki hii pale Mlimani City na kuwawezesha Wateja kupata ofa mbalimbali pale unaponunua simu hizo.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.