| Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya akiwa ndani ya banda la MSD. |
| MSD. |
| Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), akimuelekeza jambo mwananchi aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo yaliyoyoanza leo na kufikia tamati baada ya wiki moja |
| Ofisa Uhusiano Mkuu wa MSD, Etty Kusiluka (kulia), akimuelekeza jambo Mwanahabari aliyetembelea banda la MSD katika maonyesho hayo. Katikati ni Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema. |
| Ofisa Udhibiti Viwango na Ubora wa MSD, Betia Kaema (kushoto), akizungumza na mwananchi aliyetembelea banda la MSD. |
| Vifaa tiba vikioneshwa katika banda hilo. |
| Muonekano wa banda la MSD katika maonyesho hayo. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment