Jeneza lenye mwili wa Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, likitolewa nyumbani kwake, tayari kwa safari ya kwenda msikitini kuswaliwa na baadae kwenye mazishi, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI. |
Masheikh kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga. |
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga. |
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.