TAARIFA KWA VYOMBO VYA
HABARI
Toleo la Leo
PROGRAMU
YA SAFARI LAGER WEZESHWA KUKABIDHI RUZUKU KWA WAJASIRIAMALI 55 NCHINI
TANZANIA.
KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL)
kupitia bia yake ya Safari Lager inatarajia kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali
55 katika programu yake ya Wezeshwa na
Safari Lager inayoendeshwa na TBL kupitia bia yake ya Safari Lager.
Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa bia ya
Safari Lager Bi. Edith Bebwa alitaja ratiba na majina ya wajasiliamali
waliofuzu kupewa ruzuku hizo kuwa ni;
A:Dar es Salaam, watakabidhiwa mwishoni mwa wiki hii Mai
10,2015 katika viwanja vya Leaders ambapo Bendi ya Twanga Pepeta
watatumbuiza.Majina ya wajasiliamali ni;
1.Clemence Godfrey
2.Dickson Koi
3.Eustadius Ponsian
Mwemezi
4.Frank Mashoko
5.George J.Mbwambo
6.Josephine Rutaihwa
7.Neema Olomi
8.Shumbusho Kaijanante
9.Jeremia Mganga
B.Mbeya ni Mai 16,2015 katika Uwanja wa CCM Ilomba,Bendi itakayotumbuiza
ni TOT.Majina ya wajasiliamali ni;
1.Adily Kayuni
2.Colletha Kipeta
3.Emmanuel Mkumbwa
4.Erick Mlelwa
5.Malk Lawena
6.Nickson Michael
7.Orest Fwampa
8.Paul Ernest Kapinga
9.Samweli Mateni
10.Stellah W.Mwashalindi
11.Issa Shila Msukulu
12.Lusajo Mwakoba
D.Mwanza ni Mai 23,2015 katika Uwanja wa Furahisha ambapo Bendi
itakayotumbuiza ni ya Zebedaki.Majina ya wajasiliamali ni;
1.Bagaile Shaban
Barabara
2.Dastan Mutayoba
3.David Awasi
4.Godlove Charles Muro
5.Happiness Mabula
6.James
Mwandefu
7.Khadija Liganda
8.Raymond Kamisha
9.Zebedayo King
10.Zeda Magomola
D.Arusha ni Mai 30,2015 katika Uwanja wa General Tyre ambapo
Bendi itakayotumbuiza ni yaVibration.Majina ya wajasiliamali ni;
1.Paul Ndosi
2.Deogratias Komba
3.Elina Lucas
4.Asha Daniel Mrita
5.Sarah Gunda
6.George Lyezia
7.Stephen Mmary
8.Nancy Musana
9.Hilary Sirikwa
10.Novati Temba
11.Martha Steven
12.Adrian Kimaryo
13.Amedeus Shayo
14.Elvis Kombe
15.Lily Albert Msemo
16.Erick Robert Swai
17.Noah Philbert Luguhu
19.Omben Martin Urio
20.Lucy Ralph Mnkande
21. Paulo Mathias Hhayuma
alifafanuwa ya Edith “ Kila mjasiliamali wajasiliamali wa kila Kanda
walishapewa mafunzo maalum ya katika vituo vinne tofauti kwa
Mbeya,Mwanza,Arusha na Dar es Salaam.
Alisema Edith, baada ya mafunzo
hayo sasa kinafuatia ni makabidhiano ya
vifaa vyao walivyoomba kwa nyakati tofauti kama tulivyoanisha.
Nae kiongozi wa wataalamu wa
ushauri wa biashara kutoka kampuni ya TAPBDS, Bwana Joseph Migunda alisema
kuwa “Zoezi hili limehusisha wataalamu wenye uwezo na uzoefu mkubwa katika
kushauri na kusaidia ukuzaji wa sekta ya biashara ndogo na kubwa. Wajasiliamali
walifurahia mafunzo na” Tunaamini mafunzo yatakuwa chachu kwa biashara zao
na kwa wafanya biashara wengine wanao wazunguka.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.