ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, May 28, 2015

DR. MENGI AZINDUA MPANGO WA AIRTEL FURSA 'TUNAKUWEZESHA' JIJINI DAR

Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Ltd, Dk. Reginald Mengi (wa pili kulia), Mwenyekiti wa Bodi ya Airtel Tanzania, Balozi Juma Mwapachu (wa pili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Sunil Colaso (kulia) na Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi wakiwa wameshika bango kama ishara ya uzinduzi wa mpango wa Airtel Fursa ‘Tunakuwezesha’, katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Ltd, Dk. Reginald Mengi (wa pili kulia), akikabidhi zawadi ya pasi na meza yake kwa muuza mitumba Rashid Seleman (wa pili kushoto), ambaye ni mmoja wa vijana waliowezeshwa na mpango wa Airtel Fursa ‘Tunakuwezesha’ katika hafla ya uzinduzi wa mpango huo, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Sunil Colaso, Mwenyekiti wa Bodi ya Airtel Tanzania, Balozi Juma Mwapachu (wa tatu kushoto) na Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi.
Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Ltd, Dk. Reginald Mengi (wa pili kulia), akikabidhi zawadi ya mashine ya kutengeneza juisi kwa Abdulkarim Ramadhan (wa tatu kushoto), ambaye ni mmoja wa vijana waliowezeshwa na mpango wa Airtel Fursa ‘Tunakuwezesha’ katika hafla ya uzinduzi wa mpango huo, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kutoka (kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Sunil Colaso, Mwenyekiti wa Bodi ya Airtel Tanzania, Balozi Juma Mwapachu na Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi.
Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mpango wa Airtel Fursa ‘Tunakuwezesha’, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Ltd, Dk. Reginald Mengi akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mpango wa Airtel Fursa ‘Tunakuwezesha’, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti wa Bodi ya Airtel Tanzania, Balozi Juma Mwapachu akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mpango wa Airtel Fursa ‘Tunakuwezesha’, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel, Sunil Colaso akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa mpango wa Airtel Fursa ‘Tunakuwezesha’, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Ltd, Dk. Reginald Mengi akisalimiana na baadhi vijana waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa mpango wa Airtel Fursa ‘Tunakuwezesha’, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (mwenye miwani) ni Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi.
Mwenyekiti Mtendaji wa makampuni ya IPP Ltd, Dk. Reginald Mengi akisalimiana na baadhi vijana waliohudhuria katika hafla ya uzinduzi wa mpango wa Airtel Fursa ‘Tunakuwezesha’, iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Anayeshuhudia (mwenye miwani) ni Meneja wa Huduma kwa Jamii wa Airtel, Hawa Bayumi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.