ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, April 22, 2015

COLLECTION ZA DVD ZA MAYWEATHER NA PACQUAIO SASA ZINAPATIKANA UHURU / MSIMBAZI DAR


Na Mwandishi Wetu 

IKIWA zimesalia siku chache kufanyika mpambano wa kusisimua wa mchezo wa masumbwi Duniani kati ya bondia Floyd Mayweather na Manny Paquaio mei 2 mwaka uhu mpambano uho uliovunja rekodi ya mapato mbalimbali ya ngumi zilizofanyika kwa kipindi hichi

kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amekwisha toa Collection  DVD  za mapambano ya wakali hawo yaliyopita nyuma dvd hizo zenye mafunzo mbalimbali pamoja na mazoezi wakati wakijiandaa kupigana mpambano wao

ambao utafanyika mei 2 Super D alisema nimetoa video zao ili watu wazione pamoja na kumbukumbu zao za nyuma ambapo kila DVD moja ina mapambano manne ya bondia mmoja

 ukiwa kama mpenzi au shabiki wa bondia mmojawapo unaweza kujifunza mambo mengi kupitia video hizo

DVD hizo kwa sasa zinapatikana katika makutano ya barabara ya uhuru na msimbazi Dar es salaam kituo kikuu cha mawakala wa magazeti mbalimbal;i masaa 24 zaidi unaweza kuwasiliana moja kwa moja na kocha Super D kwa namba za simu 0787406938 AU 0754406938 au kufika Super D Boxing Club iliyopo ndandi ya shule ya msingi Uhuru wasichana.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.