![]() |
| Mwakilishi kutoka Tanzania Nalimi Mayunga akiimba mara baada ya kutangazwa mshindi wa shindano la Airtel Trace Music stars lililoshirikisha washiriki kutoka nchi 13 Afrika |
![]() |
| Akon akimpongeza mayunga kwa kuibuka mshindi wa Airtel Trace Music Stars katika shindano la Afrika lililofanyika Naivasha Kenya. |
![]() |
| Ofisa Mkuu Mtendaji wa Airtel Afrika Christian Defaria (kushoto) akimpongeza mwakilishi kutoka Tanzania Nalimi Mayunga mara baada ya kutangazwa mshindi wa Airtel Trace Afrika. |
![]() |
| Nalimi Mayunga akiimba wakati wa fainali ya shindano la Airtel Trace Music Star la Afrika lililofanyika Naivasha Kenya. |
![]() |
| mashabiki kutoka Tanzania wakipepea bendera ya kumshangilia mwakilishi wao Nalimi Mayunga wakati wa shindano la Airtel Trace Music Stars |
![]() |
| Baadhi ya mashabiki waliohudhuria finali ya Airtel Trace Africa wakimpongeza Nalimi Mayunga baada ya kuibuka mshindi wa Airtel Trace Afrika |
Tupe maoni yako








0 comments:
Post a Comment