| Sam Mapenzi akisikilizia Back Vocal kutoka kwa Mkali wa R&B John Music wakati akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa maraha Thai Village Masaki. |
| Mashabiki wa Skylight Band wakijinafasi kwenye dancing floor Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village uliopo Masaki jijini Dar. |
| Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 akiwapa burudani mashabiki wa bendi hiyo huku akisindikizwa Ashura Kitenge. |
I’m looking for my Johnny……I’m looking for my honey…ya ya ya….you telling me this, you telling me that….I say this is not for me….Johnny do me corny….Johnny do me corny...
|
| Number one fans wa Skylight Band...hawa jamaa mpaka Mwanza watia maguu ni jinsi gani Band hii ilivyokuwa kwenye damu zao. |
| Mdau wa Skylight Band, Gerald Kilimo (kushoto), Aneth Kushaba AK47 pamoja na @eddievied wakipata Ukodak. |
| Mdau Mulle na mratibu wa Skylight Band, Lubea wakiibia Ukodak. |
| Aneth Kushaba AK47 akipata ukodak na shabiki wake. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment