Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati akimkaribisha Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 2, 2015. Balozi Okada alifika ofisini kwa Makamu kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Masaki Okada, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Machi 2, 2015, kwa ajili ya mazungumzo na kumuaga rasmi baada kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja ya kumbukumbu na Balozi wa Japan nchini Tanzania, aliyemaliza muda wake wa kazi, Masaki Okada, baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam. Balozi Okada alifika ofisini kwa Makamu kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Picha na OMR
Waziri Mkuu:Maadhmisho ya VETA kutafakari
-
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho
ya Miaka 30 ya VETA jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa VETA CPA Ant...
Waziri Mkuu:Maadhmisho ya VETA kutafakari
-
Mkurugenzi Mkuu wa VETA CPA Anthony Kassore akitoa maalezo kuhusiana na
mikakati ya VETA kwenye maadhimisho ya miaka 30 tangu kuanzishwa kwake
jijini...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.