ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, March 30, 2015

JENGO LAPOROMOKA MWANZA NA KUFUKIA WAJENGAJI WAKE

IMG_6387.jpg
Hapa ndipo ilipotokea ajali, ni kando ya ghorofa hiyo ndefu wakiwa wanaanza ujenzi wa ghorofa nyingine ukuta ukaanguka na kuwaponda wafanyakazi waliokuwa wakihusika na kujenga msingi wa ghorofa jipya kando yake.

Eneo hili la ndani ambapo askari wa Zima Moto na uoakoaji wakiwa kazini kuvuta maji ili kuangalia vibarua wengine waliokuwa wakichimba kama wapo ndani hai au maiti, hii ni baada ya kuwaokoa wanne wakiwa majeruhi.




IMG_6374.jpg
Mpaka sasa hakuna taarifa za kifo inaelezwa kuwa kati ya majeruhi wanne waliookolewa mmoja alikuwa katika hali mbaya na wote wamekimbizwa hospitali ya rufaa ya Bugando kwa matibabu zaidi. INAENDELEA

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.