Pongezi kwa Samatta Ally Mbwana. |
Taswira Viongozi na Timu zote mbili wakati wa dakika chache kumbuka Kiongozi wa mpira Aliyekuwayetangulia mbele ya haki kocha wa zamani wa Timu ya Taifa Star Sylvester Marsh aliyefariki dunia hivi karibuni katika Hospitali ya Muhimbili na kuzikwa Mjini hapa hapa Mwanza. |
Viongozi mbalimbali waliojitokeza katika Mpambano huo wa Taifa Stars na Malawi CCM Kirumba Jijini Mwanza leo Jumapili tarehe 28.03.2015 |
Kikosi cha Taifa Stars kilichoanza. |
Waamuzi wa Mtanage. |
Kikosi cha Malawi. |
Tayari kwa mpambano kuanza.. |
Shilingi kutafuta uelekeo. |
Picha ya Pamoja. |
Bao 1-0 dakika ya tatu tu Malawi walipata bao kupitia kwa Esau Kanyenda baada ya mapeki wa Stars kujichanganya. |
Wachezaji wa Malawi wakipongezana baada ya kupata bao la mapema dakika ya tatu kupitia kwa Esau Kanyenda kwa kufanya 1-0. |
Taifa Stars 0-1 Malawi dakika ya 3 mapema Malawi walishachafua ubao. |
Kipa wa Malawi akiondosha mpira langoni mwake. |
Pisha!
Fundi!
Kipa wa Malawi akiondosha mpira kwa kuupangua kutoka eneo la hatari
Mashabiki waliingia kwa wingi leo CCM Kirumba. |
Mashabiki jukwaa kuu
Meza Kuu Rais wa Tff Bw. Jamal Malinzi nae alikuwepo kushuhudia kipute!
Katikati ni Bw. Abdrazack kutoka Mjini Bukoba/Kasibante 88.5 FM Radio
akitangaza live mpira huo kutoka CCM Kirumba Jijini Mwanza
Mpaka mapumziko Stars ilikuwa nyuma ya 1-0
Waamuzi wakitoka kwenda kupumzika wakati wa mapumziko dakika chache
Muuaji wa bao la Malawi Essau kanyenda wakati wa mapumziko
Yale
yale Ngassa na wenzake wakitoka Uwanjani kwenda kujumuika na kusikia
neno kutoka kwa kocha mkuu Mart Nooij nini kinafanyika kipindi cha pili.
Patashika kwenye lango la Malawi kipindi cha pili
Asante baba!! Samatta akipongezwa
Samatta akipongezwa
Baadhi ya Wachezaji wa Taifa Stars nao walimpongeza Samatta.
Wakishuhudia live Mtanange CCM Kirumba
Mtanange umemalizika dakika 90 kwa nguvu sawa 1-1
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.