TAARIFA KWA VYOMBO VYA
HABARI
Toleo la Leo
SAFARI LAGER YATANGAZA BAR 5 ZILIZOINGIA FAINALI SAFARI NYAMA CHOMA 2015“DAR ONE”.
Dar es Salaam, Jumanne24 Machi2015: Kampuni
ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager leo imetangaza bar tano
zilizofanikiwa kuingia fainali kwenye kinyang’anyiro cha shindano lauchomaji
nyamaDar One lijulikanalo kama “Safari Lager Nyama Choma Competition 2015”.
Akizungumza na waandishi wa habari,
Meneja mauzo Tbl kwa ukanda wa Temeke, Patrick Swai alizitaja bar
zilizoifanikiwa kuingia fainali kuwa ni;
1.Kilwa road Bar.
2.Liquid Bar.
3.Chamanzi Bar.
4.Kwetu Pazuri Bar.
5.Minazini Bar.
Alisema Swai fainali za mashindano
ya Safari Nyama Choma mwaka huu wa 2015 zinatarajiwa kufanyika katika Uwanja TCC
Chang’ombe mkoani Dar es Salaam kwa kitongoji cha Dar One kama unavyojua kwa
mkoa huu wa Dar es Salaam tumeigawa katika sehemu mbili, Dar One na Dar two,
hivyo tunanza na Dar One jumapili hii ya
tarehe 29Machi 2015 katika viwanja vya TCC Chang’ombe kuanzia saa mbili asubuhi na kuendeleatukisindikizwa
Bendi ya Msondo “Baba ya Muziki” pamoja
na DJ mkali kutoka hapahapa jijini Dar es Salaam na burudani zingine nyingi
pamoja na zawadi kemkem kutoka Safari Lager..
Shindanohili hufanyika kila mwaka,
na kwa mwaka huulinafanyika kwa mara ya nane
mfululizo na mwaka huu mkoa wetu tumekuwa wamwisho kuyafanya mashindano haya
ambayo yalizinduliwa rasmi Mkoani Mbeya wiki nnei zilizopita yakafuatiwa na
Mwanza, Arusha na Kilimanjaro na sasani Dar es Salaam.
Tangu lilipoanzishwa mwaka 2008,
shindano hili limekuwa na mvuto wa kipekee kwa wanywaji wa bia ya Safari Lager
kwani wamejitokeza kwa wingi kupigia kura baa zao kuhakikisha zinaibuka na
ushindi katika mkoa waliopo.
Kwa mwaka huu mchakato wa kuzipata
bar zilizoingia fainali ilikuwa ni wa kuipigia kura bar unayoipenda wewe mlaji
wa nyama choma kwa kutuma ujumbe mfupi wa maneno kutumia simu za mkononi kwenda
namba0653-215151. Ujumbe ambao ulitozwa
gharama ya kawaida za kutuma ujumbe.
Alisema Swai “Lengo kuu la shindano
la Safari Lager Nyama Choma ni kuongeza
hamasa kwa watayarishaji na walaji wa nyama choma ili kwa pamoja waweze
kufahamu viwango bora vya uchomaji na utayarishaji wa nyama choma. Tunahakikisha
wachoma nyama katika baa za mikoa yote inayoshiriki wanapata elimu na ueledi wa
kutosha katika fani hii ili kumpa mlaji ubora anaostahili kila anapokula nyama
choma.
Tumezingatia maombi ya washiriki
mwaka jana hivyo basi mwaka huu semina inayoelekeza namna nzuri ya uchomaji
nyama itafanyika kwa bar zote zinazoshiriki na wala sio baa chache
zilizochaguliwa kama ilivyokuwa kwa miaka ya nyuma”. Swai aliendelea kufafanua
kwamba, washiriki watapimwa ujuzi wao katika kutayarisha nyama choma za aina
tatu; nyama ya ng’ombe, nyama ya mbuzi na nyama ya kuku.
“Safari Lagertutaendeleakujitahidikuhakikishawatejawetuwanapatahuduma
bora yanyamachoma. Tunawaombasanawashirikikutumiavizurielimunauzoefuwanaopatailikuongezauborawautayarishajiwanyamachomakwawatejawetu.
MashindanohayayaSafari Lager NyamaChomayatakosamaanasahihiendapowachomanyamawatakuwawanashirikikwalengo
la kujipatiamanufaabinafsinakusahauyaleyotewaliyojifunzahadimwakamwingine”.Shindalo
la mwakahuulinaongozwanakibwagizo…. Safari
Lager naNyamaChomandioMpangomzima!.AlisemaSwai.
1.Bingwa wa Mkoa ............... Kikombe na nafasi ya kushiriki fainali ya
Mkoa Leaders.
2.Mshindi wa pili
............... Nafasi ya
kushiriki fainali ya Mkoa Leaders
3.Mshindi wa tatu ............... Nafasi ya kushiriki fainali ya Mkoa Leaders
4.Mshindi wa nne ................ 50,000/=
5.Mshindi wa tano ................ 50,000/=
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.