ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, January 11, 2015

MWANA WA RAILA ODINGA HATIMAYE AZIKWA

Waziri wa Ujenzi wa nchi ya Tanzania Dkt. John Magufuli akishiriki ibada ya kuuaga mwili wa Fidel Castro Odinga, kushoto ni waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga ambaye ni baba wa marehemu. 
Maelfu ya waombolezaji walifika katika chuo kikuu cha jaramogi Oginga Odinga siku ya jumamosi kwa mazishi ya mwana ya aliyekuwa waziri mkuu nchini Kenya Fidel Castro Odinga.
Maafisa wa usalama walikuwa na wakati mgumu kudhibiti umati wa watu uliohudhuria mazishi hayo kumuaga Mwana huyo wa Raila Odinga.
Familia ya marehemu inapanga kupeleka sampuli za mwili wa Fidel mjini Berlin Ujreumani kwa uchunguzi kamili wa kifoi chake.
Fidel alipatikana amefariki katika kitanda chake nyumbani kwake wikendi iliopita.
CHANZO: BBC SWAHILI

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.