ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, January 22, 2015

HIVI NDIVYO MAKAMBA ATAKAVYOPAMBANA NA RUSHWA KATIKA TANZANIA MPYA, ZIJUE SIFA 3 ZA KUPAMBANA NA RUSHWA.

Baada ya kukisoma kitabu cha January Makamba kinachozungumzia 'Tanzania Mpya', sasa naomba niungane na maelezo ya dibaji iliyoandikwa na Rais Mstaafu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi kwa kusema "Nimefarijika kuyasoma mazungumzo baina ya Padri Privatus Kamgendo na Ndugu January makamba mmoja wa viongozi mahiri wa zama za sasa. Nawapongeza kwa kuamua kuyaweka mazungumzo yao katika rekodi ya maandishi. Hakika tutajifunza mengi kuhusu na kutokana na maisha ya Ndugu Makamba pamoja na fikra zake kuhusu Tanzania ijayo"

Kwa uchache yale yaliyomo kitabuni yalipata kusikika LIVE kupitia mahojiano yaliyofanyika mwanzoni mwa juma hili ndani ya kipindi cha 'Power breakfast kilichoruka ndani ya Clouds Fm' Kwanza kuhusu mbio za Urais, pili suala la Rushwa, tatu Wanawake na ajira + Wanawake na haki zao, nne Ulinzi na usimamizi wa rasilimali ulio na tija na manufaa kwa Watanzania.  

Nisikuchoshe BOFYA PLAY KUSIKILIZA

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.