Ni Bo-Bo-Bonge la track la msanii E-40 linaloitwa "RED CUP" akimshirikisha T-Pain, jamaa anayetarajiwa kudondoka jijini Mwanza mnamo Tarehe 21 mwezi feb 2015, eneo la tukio ni uwanja wa CCM Kirumba.
Vilevile humo ndani katika feat kuna Kid Ink & B.O.B.
KIINGILIO:- Tsh 10,000/= Kawaida na 20,000/= VIP
Unashindwaje kuwa VIP kwa Mwaka mara moja tena kwa Bonge la show la kimataifa kama hili...!!??
MATUKIO KATIKA PICHA NYUMBANI KWA MAREHEMU
-
Baadhi ya Viongozi kutoka taasisi mbalimbali pamoja na waliowahi kushinda
taji la Miss Tanzania kwa nyakati tofauti na waombolezaji wakiwa wamewasili ...
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.