"Wapendwa mashabiki na wadau wa Muziki ninapenda kuwataarifu kwamba ule utaratibu tuliokua tukiendeleanao wa kuachia wimbo mpya kila mwezi tumeusitisha rasmi ukiwa na nafanikio lukuki, Sina zaidi ya shukrani kwa mungu na wote waliofanikisha zoezi hili lililotimiza mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu lianze,
HERI YA MWAKA MPYA KWA KILA MMOJA
Asanteni sana".Bob Haisa yes
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.