Mwanza Queens (blue) walishuka dimbani kupepetana na Mara Queens (red), ambapo hadi mwisho Mwanza mchezo ulishuhudiwa kwa Mwanza kuibuka na ushindi mnono 6-1. |
Mwenyekiti wa Kamati ya soka la wanawake TFF Blass Kiondo akizungumza mipango na mikakati iliyopo katikakukuza na kuinua soka la wanawake nchini. |
Mwanza Queens. |
Mara Queens. |
Mwanza wanapata kona. |
Mashambulizi. |
Dakika 80 za mchezo zinamalizika katika dimba la CCM Kirumba, Mwanza Queen wakiondoka na ushindi 6-0 dhidi ya Mara Queens. |
ALBERT G. SENGO: MWANZA
MICHUANO ya kitaifa ya Soka la Wanawake Tanzania ijulikanayo kama Taifa Cup hatimaye imezinduliwa hii leo dimba la CCM Kirumba, Mwanza Queens wakishusha kichapo cha fungulia mwaka kwa kuibamiza Mara Queens bao 6-1. ZAIDI BOFYA PLAY KUSIKILIZA
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.