![]() |
| Kuelekea jukwaa la kuhutubia. |
![]() |
| Naibu Katibu Mkuu CCM Taifa Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Fedha akikazia neno. |
![]() |
| Wananchi katika viwanja vya Magomeni Kirumba. |
![]() |
| Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Joseph Msukuma akihutubia wananchi wa Magomeni Kirumba jijini Mwanza. |
![]() |
| Oyeeee....!! |
![]() |
| Utulivu wa wananchi wakisikiliza sera. |
![]() |
| Bye...bye....!! |
![]() |
| Mkutano wa hitimisho viwanja vya Magomeni Kirumba Mwanza PICHA NA ZEPHANIA MANDIA WA GSENGO BLOG. |
Tupe maoni yako











0 comments:
Post a Comment