ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, December 18, 2014

NGUMI KUPIGWA IJUMAA YA TAREHE 19 UKUMBI VIGAE CLASSIC ZAKHEM MBAGALA

Promota wa Mpambano wa masumbwi nchini Shabani Adios 'Mwaya Mwaya' (katikati) akiwaangalia mabondoa Ibrahim Maokola na Selemani Mkalakala wanavyotunishiana misuli baada ya kupima uzito kwaajili ya mpambano wao ubingwa  wa taifa unaotambuliwa na TPBC utakaofanyika kesho ijumaa katika ukumbi wa Vigae classic Mbagala Zakhem. 
Mabondia Ibrahimu Maokola na Selemani Mkalakala wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa taifa unaotambuliwa na chama cha TPBC utakaofanyika ijumaa katika ukumbi wa Vigae classic Mbagala Zakhem.
Selemani Mkalakala akipima uzito
Bondia Ibrahimu Maokola akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa taifa na Selemani Mkalakala kushoto kulia ni Rais wa TPBC Chaurembo Palasa mpambano utakaofanyika ijumaa ya Desemba 19 katika ukumbi wa Vigae classic Mbagala Zakhem.
Saleh Mkalekwa akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Abdalaaha Mohamedi mpambano utakaofanyika ijumaa ya Desemba 19 katika ukumbi wa Vigae classic Mbagala Zakhem.
Dr Hesea Ronard akimpima afya bondia Ibrahimu Maokola kwa ajili ya mpambano wake wa kesho Ijumaa Picha na SUPERDBOXING NEWS

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.