ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, December 18, 2014

MAMA KAGOMA....!!

BREAKING NEWS: WAZIRI TIBAIJUKA AGOMA KUJIUZULU.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Prof. Anna Tibaijuka amegoma kujiuzulu kwakuwa haoni sababu ya kufanya hivyo
Akiendelea kuzungumza na waandishi muda huu anasema watu wanaona kujiuzulu ni 'fashion' ila yeye hayuko katika 'fashion' hiyo
Tibaijuka: Nikijiuzulu hata Rais atanishangaa maana katika yale mapendekezo ya Bunge hakuna sehemu iliyonitaka kujiuzulu.
Tibaijuka: Niliomba mchango wa Shule nikapewa na Rugemalira, sasa kujiuzulu nitakuwa sijaitendea haki jamii
Tibaijuka: Lengo la kuzungumza na Waandishi wa habari ni kuzungumza yale niliyokosa nafasi ya kujitetea wakati wa sakata la ‪#‎TegetaEscrow‬

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.