| Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa UBO Africa Antony Rutta katikati akiwainua mikono juu mabondia Cosmas Cheka kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wao watakaozipiga 28 feb katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam. PICHA NA BOXING COACH |
0 comments:
Post a Comment