Japo kiduchu kula burudani toka kwa bendi ya nyumbani Super Kamanyola, wakipiga mzigo ndani ya Villa Park Mwanza kila siku za wiki kuanzia jumatano, alhamisi, ijumaa, jumamosi na Jumapili.
Kijiji ambacho kuoana mkiwa dini tofauti ni kifo
-
Mauaji ya wanandoa wa imani tofauti ya dini yameshtua kijiji kidogo katika
jimbo la Uttar Pradesh kaskazini mwa India ambapo wakazi wameishi kwa amani
kwa ...
0 comments:
Post a Comment