ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, November 13, 2014

SIKU IMEKATIKA KWA MTINDO HUU.

Ingawa siku ilianza kwa anga likiwa angavu, nalo jua kuchomoza mapeeeeeema likituchoma ile kisawasawa siye wamachinga tunaopata riziki yetu ya kila siku kwa kuzurura huku na kule kitaani, mwisho wa siku wakati kiza kinanyemelea upepo mkali ukavuma, wingu zito likatanda mvua ikanyesha jijini Mwanza ikiambatana na upepo.

Usiku mwema.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.