![]() |
Joh Makini akitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza waliofurika kwa wingi Jembe Beach Malimbe Mwanza kushuhudia show ya WEUSI iliyofanyika jumamosi tarehe 22. |
![]() |
G. Nako hatari... |
![]() |
Bonta aliamsha iliyozuka at Jembe Beach Mwanza ile mbayaaa!!. |
![]() |
Gane ya Hip Hop... |
![]() |
Dr. Bonta on the stage. |
![]() |
Mpango mzima ukisimamiwa na Jembe ni Jembe show na burudani ilitoka kwenye vyungu vya Jembe DjZ. |
![]() |
Kidole kimoja juu Pamoja SANA. |
![]() |
Joh Makini akipagawisha raia. |
![]() |
The are. |
![]() |
Hip Hop. |
![]() |
Mwamba wa Kaskazini. |
![]() |
Mkurugenzi wa Jembe Dr. Sebastian Ndege katikati akiwa na wageni wake wakionesha ishara ya Moja 'PAMOJA SANA' ikiwa ni kauli mbiu ya Jembe FM 93.7 Mwanza. |
![]() |
Jembe DjZ. |
![]() |
Lod Ezy. |
![]() |
Kutoka kushoto ni Dj Frank, Dr. Chacha, G. Sengo na James Njuu ambaye ni Meneja wa K Vant Gin Kanda ya Ziwa. |
![]() |
Lod Ezy akizungumza na raia. |
![]() |
Kumbukumbu kuhimu. |
![]() |
Damian Sour. |
![]() |
Nikki wa Pili. |
![]() |
Battle ya kujenga baina ya Nikki wa Pili (R) na G. Nako (L) |
![]() |
Watu na watu wao. |
![]() |
Hapa WEUSI, hapa Jembe....!! |
![]() |
G. Sengo along side producer wa Jembe Fm 93.7 Okeleky. |
![]() |
Hii ndiyo team ya mashambulizi kwa matukio at G.Sengo Blog. Soon na Video utazipata. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.