ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, November 6, 2014

POLISI WANASA KONYAGI FEKI VINGUNGUTI KARIBU NA MCHICHA

Baadhi ya vibarua waliokodiwa kwa ajili ya kupakia Konyagi ili wapeleke kituo cha polisi Buguruni wakifanya kazi ya kujaza katikaq marobota ili waweke katika gari baada ya konyagi hiyo feki kukamatwa Dar es salaam jana kwenye moja ya Godawn maeneo ya vingunguti karibu na kituo cha mchicha watumiwa walikamatwa na kupelekwa polisi.
Baadhi ya watuhumiwa wa Konyagi feki wakifanya kazi ya  kupakia kwenye mabox konyagi hizo ambapo walikamatwa na jeshi la polisi na kufikishwa kituo cha polisi buguruni kwa uchunguzi zaidi.
Baadhi ya watumiwa wakiwa chini ya ulinzi ambapo jana waliswekwa lumande na kulala ndani ya kituo cha polisi buguruni baada ya kukamatwa wakipack konyagi feki maeneo ya vingunguti Dar es salaam jana.
Mmoja wa watuhumiwa ambaye alijitambulisha kuwa yeye ni mmiliki wa Konyagi Feki akiwa chini ya ulinzi baada ya kukamatwa jana.
Baadhi ya watumiwa waliokutwa katika godwon lenye konyagi feki wakiendelea na kazi ya kupakia katika mabox watumiwa hawo walikamatwa na kulala lumande katika kituo cha polisi buguruni Dar es salaam jana kwa uchunguzi zaidi.
Baaadhi ya maofisa usalama wakiangalia mzigo uliokamatwa ukipandishwa katika gari kwaajili ya kuelekea kituo cha polisi buguruni.
Baaadhi ya maofisa usalama wakiangalia mzigo uliokamatwa ukipandishwa katika gari kwaajili ya kuelekea kituo cha polisi buguruni.
Baadhi ya vibarua waliokodiwa kwa ajili ya kupakia Konyagi ili wapeleke kituo cha polisi Buguruni wakifanya kazi ya kujaza katikaq marobota ili waweke katika gari baada ya konyagi hiyo feki kukamatwa Dar es salaam jana kwenye moja ya Godawn maeneo ya vingunguti karibu na kituo cha mchicha watumiwa walikamatwa na kupelekwa polisi.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.