ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 27, 2014

TRACK MPYA YA MWANADADA NATTY E,MTANGAZAJI WA RADIO NA MSANII KUTOKA ROCK CITY

Wakati akina dada wengi wanaingia kwenye game ya 'HipiTiHipoP' kisha dakika sifuri wakijikata na kutokomea kabisa kusikojulikana, hali ni mwendo mdundo kwa fasi ya game ya Hip hop toka kwa mwanadada Natty E anayeishi na kufanya kazi pamoja na shughuli zake jijini Mwanza Tanzania.

Baada ya kutoa traX kadhaa zenye kukubalika, huku humo ndani kwenye beat na mistari akitamka maneno yenye kueleweka, style kali na akiyatendea haki mengineyo yaliyo msingi wa soko la ushindani miaka ya sasa, this time Natty E anarejea tena na single yake mpya ambayo kaibatiza jina la 'ASANTE'.

Bila shaka unataka kuisikiliza :- BOFYA PLAY KUISIKILIZA (SAUTI YAKUJIA HIVI PUNDE HAPA CHINI)

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.