![]() |
Majina yote mpe yeye,mara Dangote,mara Chibu afu jazia na Diamond Platnum akiwa kazini na skwadi lake zima la kazi alipiga Bo..bo...bonge la Show Fiestani 2014. |
![]() |
Msanii wa muziki kizazi kipya,Rachael kutoka THT akitumbuiza jukwaani kwenye usiku wa tamasha la Fiesta 2014 lililofanyika katika viwanja lidaz Club,Kinondoni jijini Dar. |
Sehemu ya umati wa watu waliokuwa wakishuhudia yaliyokuwa yakijiri kwenye jukwaa la Fiesta 2014 katika viwanja vya Lidaz Kinondoni jijini Dar. |
![]() |
Mmoja wa wasanii wa kike wanaofanya vyema katika anga ya muziki wa Bongogfleva,Shah akiwa na skwadi lake wakilishambulia jukwaa la fiesta. |
![]() |
Mkali mwingine wa hip hop nchini Mwana-FA akiwaimbisha mashabiki wake (hawapo pichani) usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la Fiesta 2014. |
![]() |
Kama kawaida yao wawapo jukwaani,ni kushambulia jukwaa mwanzo mwisho,pichani kulia ni Stamina na Ney wa Mitego wakikamua jukwaani. |
![]() |
Abdulkiba nae akionesha yake jukwaani. |
![]() |
Ilikuwa ni shoo moja nzuri kutoka nyumba ya vipaji ya THT. |
![]() |
Ilikuwa buruuudani kabisa. |
![]() |
Pichani msanii Linah (nyeupe) akiwa na skwadi lake mara baada kumaliza kulishambulia jukwaa kwa pamoja. |
![]() |
Anaitwa Ally kiba ambaye inaelezwa kutoka kwa mashabiki kuwa alifanyo shoo nzuri na iliyowavutia,na kuthibitisha uwezo wake kuwa ni kweli amerejea kwenye kiti chake cha usanii. |
Mashabiki wakifuatilia tamasha la Fiesta 2013. |
![]() |
Msanii kutoka nchini Marekani Clifford Haris a.k.a T.I akiwasili kwenye viwanja vya lidaz club Kinondoni jijini Dar kutumbuiza tamasha la Fiesta lililofanyikamwishoni mwa wiki. |
![]() |
Msanii kutoka nchini Nigeria, David Adedeji Adeleke a.k.a Davido akiwakuna mashabiki wake kwa kucheza staili yake ya Skelewi jukwaani,huku miluzi na shangwe ikiwa imetawala kila kona ya uwanja. |
![]() |
Davido na Diamond wakilishambulia jukwaa kwa paoja. |
![]() |
Davido na Diamond. |
![]() |
Skelewu ya Davido na Ngololo ya Diamond. |
![]() |
Msanii kutoka nchini Marekani Clifford Haris a.k.a T.I akilishambulia jukwaa la Fiesta vilivyo. |
![]() |
NO MEDIOCRE |
![]() |
Mashabiki toka mataifa yote nao walishangweka kwa raha zao |
![]() |
T.I akiwaimbisha mashabiki wake (hawapo pichani ) na wimbo wake wa NO MEDIOCRE. |
![]() |
Pichani juu na chini ni sehemu ya umati wa watu wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha fiesta usiku wa mwishoni mwa wiki, katika viwanja vya Lidaz Kinondoni jijini Dar. |
![]() |
Lidaz Kinondoni jijini Dar. |
![]() |
Ilikuwa ni sheeeddddaaa. |
![]() |
Ni Shedah.... |
![]() |
Shaha na skwadi lake wakilishambulia jukwaa. |
![]() |
Ommy Dimpoz na Victoria Kimani wakilishambulia jukwaa la fiesta 2014 |
![]() |
Palikuwa hapatoshi. |
![]() |
Victoria Kimani akilishambulia jukwaa |
![]() |
Palikuwa hapatoshi jukwaani kwa kila aina ya burudani |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.