ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, October 4, 2014

KAMA ULIPITWA NA PICHA ZA BIRTHDAY YA DIAMOND PLATNUMZ

Platnumz's birthday.
IMG_6274
Mama Diamond na Diamond na Wema.
Staa wa Bongo Fleva anayefanya vizuri duniani Diamond Platnumz au Nasibu Abdul Juma aliyezaliwa October 2 1989 hivi majuzi ya tarehe 2oct alifanya bonge la party kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. 
Kwenye hilo party ambalo lilifanyika Golden Jubilee Towers Dar es Salaam Kilimanjaro Hall lilihudhuriwa na mastaa mbalimbali wa Tanzania wakiwemo waigizaji, watangazaji wa redio na tv, wasanii wa bongo fleva na wengine. PICHA ZOTE NA TAARIFA NEWS
IMG_6214
Mwanamuziki wa muziki wa Bongo Fleva Shilole (R), Mziwanda (C) na Friendz (L)
IMG_6281
Mimina mimina...
IMG_6285
The Platnumz na shampaigne.
IMG_6312
Wema akishiriki kucheza ngoma.
IMG_6313
Hapo vipi...?
IMG_6330
Yamoto Band wakitoa burudani.
IMG_6339
Ze keki...!
IMG_6368
Make a wish...!!
IMG_6373
Diamond alipo muita Dada yake Queen Darleen kula keki.
IMG_6387
Zamu ya Ommy Dimpoz...!
IMG_6401
Flowers.
IMG_6399
Frendz
VIDEO KWA HISANI YA BONGO FIVE. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.