Pichani ni baadhi ya watoto walionufaika na mpango wa maendeleo wa Compassion Mwanza. |
Picha za ukutani. |
Kutoka eneo moja kwenda jingine. |
Bi hawa athumani akihadithia jinsi maisha yake yalivyo badilika mara baada kusota kwa kipindi kirefu akiishi kaika kibanda ambapo sasa anamiliki nyumba yake nzuri ya kisasa. |
Wadau wa UN wakiwa katika picha ya pamoja na Bi. Hawa Athumani, na aliye keti ni mume wa Bi. Hawa. |
Wadau wa UN na Shirika la Compassion wakiagana na familia ya Bi. Hawa Athumani |
Katika Afrika Mashariki ukiondoa Tanzania shirika hilo lipo Rwanda, Kenya, Uganda na Ethiopia na tayari limezalisha wasomi wengi wakiwemo madaktari na wauguzi wahasibu, wanasheria na askari ambao kwa sasa wamekuwa tegemeo kubwa kutokana na ufadhili unaotolewa na shirika hilo.
Shirika hilo la compassion internation Tanzania lilianzishwa rasmi tarehe 30/4/1999 lengo ikiwa ni kuhudumia watoto wahitaji ili kuwatoa katika umasikini wa kiroho,kiuchumi,kijamii na kimwili na baadae lilianzisha ushirika wenza na baadhi ya makanisa ya kiinjili katika mikoa ya lindi ,mtwara,Iringa na Arusha ambapo ndio makao makuu.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.