BOFYA PLAY KUSIKILIZA.Ndugu katika Bwana, nawaletea wimbo wangu Mpya wa injili unaoitwa YESU UMENIOKOA naomba uusikilize popote pale ulipo na kama ni mmoja kati ya wadau wa Radio nchini basi ifikishe sauti hii kwa wasikilizaji wako ili kazi ya Mungu iendelee kufanyakazi. Sina cha kuwalipa ila naomba Utukufu wa Mungu uendelee kuwajaza kila kuchwapo muishi kwa neema yake mkibarikiwa. Aksante. Mwl. Deo Kisandu Mwanza
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.