ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, September 15, 2014

NI SHEEEDER....DUDU BAYA AONEKANA JUKAANI KWA MARA YA KWANZA KATIKA SERENGETI FIESTA TABORA 2014!!

Mc hatari nchini Tanzania Dj Fetty akiShow some love na wakazi wa Tabora katika Serengeti Fiesta 2014 iliyofanyika katika uwanja wa Ally Hassan Mwinyi.
Mkali mwingine anayekuja kwa 'speed ya risasi' toka Rock City Director Shaibu alichangamsha raia na ngoma zake ile kinoma nowma.
Akitumbuiza kwa lugha asili toka watu wa kabila la wahaya anaitwa Bk Sande.
Wow Khadijah ...
Mo Music..
Kulia ni Baraka the Prince na kushoto ni Mo Music....Ni sheeeder!!.
Baraka the Prince.
Ngosha the Don aka Fid Q hapa alikuwa akitema rymes za Hip hop...Sheeder!!
Next ....
Nikki wa Pili 
WanaTBR wameukubali mziki.
Mc mkali, machachari Nickson George.
Taa zilizimwa one time kuwakumbuka waliotutangulia mbele za haki ikiwa ni pamoja na kumshukuru Mungu kana anavyoagiza kwenye maandiko yake.
Pande hii aje...aje...Ni shigiDi
Linah..
Khadijah (L) na Linah (R)
Wakapiga bonge la shooO!
Young Killer ...
Stamina.
Stamina (L) na Fid Q (R)
Huyu mrembo anafanya nini hapa kati...?!
Eh bana wachaAAa mistari ya hip hop na komvising' pawa yake ni nowma pindi inapopangwa, lazima mtsotso aingie kingi.
The toMBo Adam Mchomvu aka baba jonii fIESTANi Tabora.
Ni kwa mara ya kwanza msanii mtukutu nchini Tanzania Dudu baya aka Tentemente kupanda jukwaa la muziki kwa mwaka 2014, kwani awali baada ya kimya kirefu akisakwa na wenye magwanda kutokana na maskendo na masoo kibao ambayo yalikuwa yakimwandama kila kukicha, Dudu alikuwa amejichimbia studio akiratibu mistari yake kisha kuikamatisha na midundo na huu ukawa mtoko wake wa kwanza mbele ya hadhira.
Mr. Blue now is in Red.
Recho....ni Sheeeder!!
Ommy Dimpoz.
Shilole ndiye mwenyeji wetu mkoani Tabora.
The dance ya Shishi...
Ilikuwa hatari pale Shilole alipokuwa akimtambulisha wa ubanIZ wake Mziwanda....
Mziwanda.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.