ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, September 3, 2014

MABOSS WA AIRTEL TZ WAENDELEZA MAPAMBANO DHIDI YA FISTULA

Wakuu wa makampuni tofauti pamoja na wakurugenzi wa vitengo mbali mbali vya kampuni ya Airtel Tanzania wameendelea kuonyesha kuguswa kwa kushiriki kutimiza shinikizo toka kwa Mkurugenzi mkuu wa Artel Tanzania alilolitoa wiki moja iliyopita kuhamasisha mapambano dhidi ya Fistula kwa akina mama kwa kuchangisha pesa zitakazotumika kusaidia shughuli mbalimbali wakati wa matibabu kwa wale waliopatwa na tatizo hilo.

Fistula Ice Bucket Challenge - Marketing Department.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.