Mabingwa wa mchezo wa Safari Pool 2014, Klabu ya Topland ya Mkoa wa Kimichezo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam wakipokelewa kwa shangwe na mashabiki mara baada ya kuwasili klabuni kwao Magomeni wakitokea mkoani Kilimanjaro jana.
Mabingwa wa mchezo wa Safari Pool wa Klabu ya Topland ya mkoa wa kimichezo wa Kinondoni Dar es Salaam wakishangilia kwa kucheza mara baada ya kuwasili klabuni kwao Magomeni wakitokea Mkoani Kilimanjaro jana.
Meneja wa timu ya Topland, Isiaka Afande(kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha Pool wa Mkoa wa kimichezo Kinondoni(KIPA), Goodluck Mmari mara baada ya kurejea na ubingwa wa fainali za mashindano ya Safari Pool 2014.
Mwenyekiti wa Chama cha Pool wa Mkoa wa kimichezo Kinondoni(KIPA), Goodluck Mmari (kulia) akimkabidhi mkurugenzi wa klabu ya Topland,Fredrick Kiando kikombe mara baada ya timu ya Topland ya mkoa wa kimichezo wa Kinondoni kutwaa ubingwa wa mashindano ya Safari Pool Taifa 2014 yaliyomalizika mwishoni mwa wiki mkoani Kilimanjaro
Taarifa kwa Umma Kuhusu Ongezeko la Bei za Mafuta.
-
Dar es Salaam, Tanzania
Tunatambua ongezeko kubwa la hivi karibuni la bei za mafuta ambalo
limeongezeka kwa asilimia 33. Kama jukwaa linalolenga kusawaz...
Serikali Yaongeza Muda wa Tume ya Uchunguzi
-
*Na Mwandishi Wetu*
*DODOMA, Aprili 4, 2026 — Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
imetangaza kuongeza muda wa kukamilisha kazi kwa Tume ya Kuchun...
0 comments:
Post a Comment