Mkurugenzi wa Kampuni ya Tekinologia ya Huawei Tanzania, Vincent Wen(kushoto) akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Tekinolojia ya Mawasiliano ulioanza jana katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa HUAWEI.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tekinologia ya Huawei Tanzania, Vincent Wen akizungumza na washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Tekinolojia ya Mawasiliano(hawapo pichani) wakati wa ufunguzi ulioanza jana katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa HUAWEI.
Washiriki wa mkutano huo.
Washiriki wa mkutano huo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Tekinologia ya Huawei Tanzania, Vincent Wen(kushoto) akizungumza na wandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Tekinolojia ya Mawasiliano ulioanza jana katika Hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam kwa udhamini wa HUAWEI.
0 comments:
Post a Comment