![]() |
| Ni barabara kutoka Sengerema .....hadi mwisho wa barabara pale panapo nihusu zaidi mjini Bukoba. |
![]() |
| Ofisi za Mizani. |
![]() |
| Mwingine anashuka mwingine anapanda. |
![]() |
| Geita moja safari kuelekea Bukobaaaaa!! |
![]() |
| G.Sengo katika kituo cha mabasi mkoa wa Geita. |
![]() |
| Daladala kuelekea sehemu mbalimbali na utaratibu katika suala zima la parking. |
![]() |
| Safarini nimeambatana na bwamdogo Morgan. |
![]() |
| Tushaanza kuikamata ardhi ya mkoa wa Kagera. |
![]() |
| Kibao chasomeka vyema, nasi nji inayotuhusu ni hii ya kuelekea kulia >>>> |
![]() |
| Kitongoji baada ya kitongoji kuelekea mji wa Bukoba. |
![]() |
| Kulee. |
![]() |
| Hatua chache zimesaliakuingia Bukoba mjini. |
![]() |
| Promosheni na amshaamsha za Serengeti Fiesta 2014 tayari siku miiiingi zishaingia mji huu na hapa ni katika moja ya baa za Bukoba. |
![]() |
| Lango kuu la kuingia kituo cha mabasi Bukoba mjini. |
![]() |
| Clouds Tv ishatia timu long time mjini hapa kwaajili ya kuyanasa matukio mtaani na mwisho wa siku siku ya Ijumaa pale Kaitaba Stadium kiingilio ni shilingi 5000/= tu unazama ndani. |
![]() |
| Barabara ya Kashozi. |
![]() |
| Maandari ya Bukoba. |
![]() |
| Ndani ya soko kuu la Bukoba mjini kusaka mamboZi. |
Tupe maoni yako



















0 comments:
Post a Comment