ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, August 12, 2014

PICHA ZA LINAH AKISAMBAZA UPENDO MWANZA

Linah akiwa bustani ya Rock Beach usawa wa jiwe maarufu la Bismark Rock jijini Mwanza.
Aliambatana na wanyange wa kinyang'anyiro cha Redds miss Mwanza kilichomalizika mwishoni mwa wiki.
Engo nyingine at Bismark Rock Mwanza.
Peace and love.
Linah na Bodaboda team.
Bye.
MSANII wa Kizazi Kipya, Linah Sanga amewataka akina mama wajasiriamali kutokatishwa tamaa na changamoto mbalimbali zinazowakabili kwenye shughuli zao za utafutaji.
Pia amewaasa wawe wabunifu na kuwa wadadisi kwa wengine waliofanikiwa ili waweze kufanikiwa katika kazi zao. BOFYA PLAY KUMSIKILIZA WAKATI AKIZUNGUMZA NA METRO FM YA JIJINI MWANZA.

Prizenta wa Metro Fm Mwanza akishow love kwa pix ya blogu yetu.
“Nikiwa Balozi wa wanawake,nimekuja hapa kuwatia moyo dada zangu na akina mama wajasiriamali.Lengo kubwa likiwa ni kuwabadilisha fikra,sababu siku zote wako nyuma kwa kutokubali kubadilika.Wanafanya kazi kwa kukariri bila kujituma na kutazma wengine kwa nini wamefanikiwa,”alisema Linah
Alisema wengi wa wajasiriamali hawajiulizi kwamba wanaweza,pia hawaulizi kwa nini yeye ameweza , ni kwa sababu aliweza kupigana  na kufanikiwa.
Sambaza upendo!
Sambaza upendo na maprizenta wa Metro Fm Mwanza.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.