Mwonekano wa engo flani ya jiji la Mwanza, Ziwa Victoria na mwambao wake. |
Juu kwa juu na kipande cha barabara ya Rufiji Mwanza. |
Uhuru road, Pamba road, Nyerere road, Kaluta road alimuradi ni mchanganyiko. |
Kilima cha Bugando na vihusishi vyake. |
Uhuru juu kwa juu. |
Kwa mbaaaaali vilima vya Mirongo na chini ni majengo ya shule ya msingi Mirongo |
Mirongo juu. |
Juu kwa juu shule ya sekondari Thaqafa 2014, mlio soma miaka ya nyuma shuleni hapa mpoo? You C tha changes? |
Katikati ya uwanja wa shule ya sekondari Thaqafa kuna kiwanja cha Basketball na Netball, ambavyo vina sapitiwa na maadhari nzuri na mazingira safi shuleni hapo. |
Barabara ya Nyerere utulivu na pilika zake. |
Ni moja kati ya Hotel mpya zenye hadhi jijini hapa, hoteli zilizonuia kuleta mapinduzi katika utoaji huduma za viwango vya hali ya juu, kuwakarimu wageni waingiao na kutoka. |
Chini ardhini hadi ziwa Victoria ndani ya jiji la Mwanza, kutakapo fanyika Serengeti Fiesta ya kwanza kwa mwaka 2014, kutana na Bismark Rock. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.