ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, August 3, 2014

SIZ KITAA NA CLOUDS TV NIMEIELEWA!

Kama we ni mjanja basi huwa hukosi hiki kipindi, katikati ya wiki hii nilienjoy sana kusikiliza simulizi za muasisi wa rap za bendi nchini Tanzania Alan Mulumba Kashama (L) na Totoo Ze Bingwa (R) huku kipindi kama kawaida kikiendeshwa na mwanangu mwenyewe Mwananchi wa Kawaida Castor Dickson (C).
Totoo Ze Bingwa akifunguka.
Kipekee bila kuambiwa na mtu jinsi nilivyokielewa kipindi hiki ni kuwa, Siz Kitaa ni kipindi kinachohusu ufafanuzi, uchambuzi, ushauri, na maelezo ya harakati za wananchi wa kawaida na watu maarufu hapa nchini jinsi wanavyo kabiliana na changamoto mbalimbali maishani.  

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.