ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, August 9, 2014

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL MGENI RASMI MAONESHO YA SIKUKUU YA WAKULIMA NANE NANE KITAIFA MKOANI LINDI.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Waziri wa Kilimo Maendeleo ya chakula na Ushirika, Eng. Christopher Chiza, na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Lindi wakati akitembelea katika Mabanda ya Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo Mkoa wa Lindi, jan Agosti 8, 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea baadhi ya mashamba ya mfano kujionea kilimo cha umwagiliaji wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho katika Kilele cha sikukuu ya Wakulima Nanenane iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo, mkoani Lindi jana. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia jambo na Mbunge wa Kilwa Murtaza Mangungu, wakati walipokutana kwenye viwanja vya Ngongo katika maonesho ya sikukuu ya wakulima Nanenane iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo, mkoani Lindi jana Agosti 8, 2014. Picha na OMR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiangalia kiatu huku akisikiliza maelezo kutoka kwa Mrakibu Mkuu wa Magereza, Yunge Saganda, kuhusu utengenezaji wa viatu hivyo wakati alipotembelea katika Banda la Jeshi la Magereza kwenye Kilele cha maonesho ya Sikukukuu ya Wakulima Nanenae iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo Mkoani Lindi jana. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na baadhi ya wakazi wa mkoa wa Lindi waliojitokeza katika Viwanja vya Ngongo wakati akitembelea katika mabanda ya maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane yaliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja hivyo jana. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na mmoja kati ya watoto waliokuwapo eneo hilo, wakati akitembelea mabanda hayo ya maonesho. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Jarida la Kilimo la Nanenane kutoka kwa Iman Kajula, kwa ajili ya kuzinduliwa wakati wa Kilele cha Sikukuu ya Wakulima Nanenane iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo, Mkoani Lindi jana Agosti, 8, 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Ludovick Mwananzila, wakatika Kilele cha Sikukuu ya Wakulima Nanenane iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo, Mkoani Lindi jana Agosti, 8, 2014. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Tuzo Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Sophia , wakatika Kilele cha Sikukuu ya Wakulima Nanenane iliyofanyika Kitaifa kwenye Viwanja vya Ngongo, Mkoani Lindi jana Agosti, 8, 2014. Picha na OMR

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.