ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, August 10, 2014

FIESTA MWANZA NI-SHiiiDAH...!!

Madee akikisanukisha ndani ya CCM Kirumba katika Tamasha la Serengeti Fiesta lililofungua pazia kwa mwaka 2014.
Mashabiki....toka sehemu na sehemu.
Diamond the Platnumz akifanya kweli.
Moja kati ya silaha muhimu za Diamond Platnumz ni safu yake ya Dancers wana kila kitu classic' mpaka utachukia.
Wow...
Mashabiki wakizuiwa kutinga mstari wa msisho kulifikia jukwaa.
Kutoka mbele ya jukwaa na taswira ya muonekano wa wanamwanza.
Flowers waliojitokeza kushow love.
Dj Jeff Jerry (kushoto) akiwa na kambi yake katika kushow love FiesTaNi'.
Macho mbeleEEEEEeeeee!!
The Mc Baba la Baba aka Baba Joniii aka Adam Mchomvu kwa fasi ya dwasi' da Stage akifanya yake.
Ze nyomi....!!
Chege na Temba.
Wapiiiiiiii....!!
Mwanza.
Joketi ni mmoja kati ya wanadada waliopiga 'supraizi' kwa stage hakuna aliyekuwa akiamini kwamba naye ni mwimbaji tena mkali, akiwa na stage show wake alipiga bonge la show kiasi cha kumfanya kila mmoja abaki mdomo wazi.
The dance ya Kidoti ni hatariiiii!!
Madee na kamapani lake.
Usithubutu kukosa pindi itakapo rindima mkoani kwako.... Bukoba mmejiandaaandaaje?

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.