|
Baada ya kazi ya kuwaburudisha mashabiki wake,Mara Wema Sepetu a.k.a shemeji nae akajiunga kumpa sapoti mpenzi wake jukwaani. |
|
Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2014 lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. |
|
Nyota wa muziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho la kwanza la tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza lililofanyika mwishoni mwa wiki,tamasha hilo litaendelea kwenye miji mingine ya Bukoba na Kahama mwishoni mwa wiki. |
Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2014 lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
|
Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2014 lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. |
|
Diamond na Ney wa Mitego wakioneshana umwamba wa kuwateka mashabiki kila mmoja kwa staili yake,huku miluzi na Shangwe ikiwa imtawala ndani ya uwanja. |
|
Mmoja wa wasanii anaefanya vyema kwa sasa katika anga ya muziki wa bongofleva Vanessa Mdee a.k.a V Money akitumbuiza mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza (hawapo pichani) waliojitokeza kwa wingi kushuhudia mrindimo wa tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba jijini humo,tamasha hilo limefanyika mwishoni mwa wiki. |
|
Mmoja wa wasanii anaefanya vyema kwa sasa kupitia wimbo wake mpya wa Ole Themba akiwa chini ya Kampuni mpya ya No Fake Zone,Linah Sanga akitumbuiza mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza (hawapo pichani) waliojitokeza kwa wingi kushuhudia mrindimo wa tamasha la Serengeti Fiesta ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba lililofanyika mwishoni mwa wiki. |
Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani
wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye tamasha la
Serengeti fiesta 2014 lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini
Mwanza mwishoni mwa wiki.

Wasanii wa kundi la Tanikando Group kutoka Igoma, Mwanza nao
wakionesha umahiri wao kupamba onesho la muziki la Serengeti fiesta 2014 lililofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini humo na kuhudhuriwa na maelfu ya wapenzi na washabiki wa tamasha hilo.
Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani
wakishangilia baada ya kukongwa na burudani wakati wa tamasha la
Serengeti fiesta 2014 lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini
Mwanza mwishoni mwa wiki.
Sehemu ya Wasanii wa bongofleva waliofanya vyema katika tamasha la Fiesta 2014 kupitia shindano la Serengeti fiesta 2014 Supa Nyota.
|
Msanii wa bongofleva anaekuja kwa kasi katika mchakato wa kuchanganya nyimbo za asili na za kizazi kipya kutoka Bukoba,BK Sande akiimba wimbo wake mpya uitwa OMWANA mbele ya Maelfu ya wakazi wa jiji la Mwanza katika tamasha la Serengeti Fiesta 2014 lililozinduliwa jijini Mwanza mwishoni mwa wiki. |
Hivi ndivyo wakazi wa jiji Mwanza walivyojitokeza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mwanza.
|
Msanii wa Bongofleva kutoka Mo Music akiimba jukwaani |
Utulivu ulikuwepo wa kutosha ndani ya tamasha la Fiesta 2014 huku umati mkubwa ukishuhudia uzinduzi wa tamasha hilo jijini Mwanza katika viwanja vya CCM Kirumba,mwishoni mwa wiki.
|
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Young De, akifanya vitu vyake ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba wakati wa tamasha la Serengeti fiesta 2014, lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mwanza. |
|
Umakini na mitambo ya kutosha kuwapa burudani isiyo nakikomo kwa wakazi wa jiji la Mwanza. |
|
Wakata Mikaa Chege na Themba wakishambulia jukwaa la fiesta. |
Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani
wakishangilia baada ya kukongwa na burudani wakati wa tamasha la
Serengeri fiesta lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini
Mwanza mwishoni mwa wiki,tamasha hilo wiki hii litaendelea katika miji ya Bukoba na kahama.
|
Pichani kushoto ni Msanii kutoka ndani ya jiji la Mwanza.Young killer akiwa na msanii mwanzake amkimpa tafu kulishambulia jukwaa vilivyo. |
|
Wadau wakuu wa tamasha hilo wakifurahia jambo. |
|
Msanii wa bongo fleva, Mr Blue akikonga nyoyo za umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza katika Uwanja wa CCM Kirumba katika tamasha la Serengeti fiesta mwishoni mwa wiki ndani ya uwanaja wa ccm kirumba. |
|
Sehemu ya umati wa wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ndani ya tamasha la Serengeri fiesta lililoanza rasmi katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki,tamasha hilo wiki hii litaendelea katika miji ya Bukoba na kahama. |
|
Vijana wa Mkubwa Fella,Yamoto Band wakilishambulia jukwaa. |
|
Mkamua ngoma wa Diamond,Romyjons akifanya vitu vyake wakati Diamond akitumbuiza jukwaani.PICHA NA MICHUZI JR-MWANZA |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.