ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, July 20, 2014

UPENDO NI KUJITOA BILA KIKOMO

Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga ya Kigango cha Mtakatifu Peter Feba Mabibo, Parokia ya Mtakatifu Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francis Mihayo akiwakabidhi watoto wa kituo cha kulelewa Watoto Yatima cha Casa Della Diaia(Nyuma ya furaha) cha Bombo Tanga, msaada wa vyakula na vitu mbalimbali walipotembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.
Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga ya Kigango cha Mtakatifu Peter Feba Mabibo,Parokia ya Mtakatifu Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francis Mihayo akiwakabidhi watoto wa kituo cha kulelewa Watoto Yatima cha Casa Della Diaia(Nyuma ya furaha) cha Bombo Tanga, msaada wa vyakula na vitu mbalimbali walipotembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.

Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga ya Kigango cha Mtakatifu Peter Feba Mabibo,Parokia ya Mtakatifu Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francis Mihayo akiwakabidhi mlezi wa watoto wa kituo cha Casa Della Dioia(Nyumba ya Furaha),Sister Consolata cha Bombo Tanga msaada wa vyakula na vitu mbalimbali walipotembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.
Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga ya Kigango cha Mtakatifu Peter Feba Mabibo,Parokia ya Mtakatifu Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francis Mihayo akiwaamembeba mmoja na watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha Casa Della Dioia(Nyumba ya Furaha) mkoani Tanga.Wengine ni watoto wa kituo hicho. Kwaya ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga Mabibo jijini Dar es Salaamwalitoa msaada wa vyakula na vitu mbalimbali walipotembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.
Mlezi wa kwaya ya Kanisa Katholiki ya Mtakatifu Aloyce Gonzaga ya Kigango cha Mtakatifu Peter Feba Mabibo,Parokia ya Mtakatifu Yohana Mbatizaji Luhanga Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Francis Mihayo akiwaamembeba mmoja na watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha Casa Della Dioia(Nyumba ya Furaha) mkoani Tanga.Kulia ni Mlezi pia wa kwaya hiyo, Sylvester Tyienyi.Kwaya hiyo ilitembelea kituo hicho mwishoni mwa wiki.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.