ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, July 8, 2014

MFUMO DUME, IMANI ZA MILA NA DESTURI KANDAMIZI ZAKWAMISHA FURSA KWA WANAWAKE WILAYANI TARIME.

Katika mada za ujasiliamali ambapo vijana zaidi ya 200 wameshiriki Semina ya elimu ya kugundua vyanzo vya uwekezaji ndani ya jamii na nje ya jamii ijulikanayo kama Fursa inayo ratibiwa na Radio Clouds na kufadhiliwa na ABG North Mara iliyofanyika katika kata ya Kemambu, tarafa ya Ingwe wilayani Tarime mkoani Mara, Wawezeshaji walitaka kujua kwanini akina mama wanashindwa kushiriki kikamilifu kuzitumikia Fursa zilizopo, kama Udereva Taxi, Bodaboda, U-Contractor au Ujenzi na kadhalika ambazo zinaonekana wazi kutengwa kwaajili ya wanaume pekee.BOFYA PLAY SIKILIZA KILICHO KUWA KIKIZUNGUMZWA















Igega Mtatiro ni Mwandishi wa habari mkoani mara ambaye pia alishiriki semina hiyo ya Fursa katika kata ya Nyamongo yeye anasema kuwa Mfumo dume pamoja na imani za mila na desturi kandamizi bado umeonekana kuikandamiza jamii isifanikiwe. BOFYA PLAY KUMSIKILIZA. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.