Bao la Muller
23:10 Thomas Muller anaiweka Ujerumani mbele 1-0
23:10 GOOOOOOOOOAL
23:11 Ujerumani 1-0 Brazil
|
Muller akishangilia bao lake |
23:18 Brazil wanaonekana wameduwazwa na bao hilo la Muller
23:15 Kona kuelekea upande wa Ujerumani
|
23:20 GOOOOOOAL
23:20 Ujerumani 2-0 Brazil
Ujerumani hawajawahi kushindwa katika mechi ambayo wametangulia kufunga.
|
23:26
23:26 Toni KROOOOOS
23:24 GOOOOOOAL !Toni KROOOOS
23:20 Thomas Muller anafunga bao la pili la Ujerumani
|
23:35
23:30 Ujerumani 5-0 Brazil
|
00:57
00:54' Kipa Manuel Nuer anainyima brazil bao la kufutia machozi
|
00:59 Miroslav Klose anapumzishwa Andre Schurrle anaingia
00:58 Brazil inaendelea kutafuta angalau bao la kufutia machozi lakini Nuer hapishi
00:60 Ujerumani 5- Brazil
00:70 Andre Schurrleanafanya mambo kuwa 6-0 kwa Ujerumani.
00:70 GOOOOOOOAL
00:90 Oscar anaiifungia Brazil bao la kufutia machozi katika dakika ya mwisho ya
mechi hii ya kihistoria ambapo haijawahi kutokea kwa timu kufungwa magoli mengi
kiasi hiki katika mchezo wa nusu fainali. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.