Balozi wa Habari wa Pepsi Kombe la Meya 2014, G. Sengo akitoa utaratibu utakao fuatwa kabla ya makabidhiano. |
Mstahiki Meya aliiongoza meza kuu. |
Mfungaji bora wa mashindano kuondoka na kitita cha shilingi laki mbili. |
Timu yenye nidhamu itaondoka na kitita cha shilingi laki mbili. |
Zawadi ya refa bora wa mashindano shilingi laki mbili, ile hali mshindi wa tatu atalitwaa kombe, medali ya shaba na kitita cha shilingi milioni moja. |
Ni makombe na medali zake kwa michuano ya Pepsi Kombe la Meya 2014. |
Team Pepsi. |
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.