ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 28, 2014

BODABODA ZINAZO TUMIA UMEME ZATINGA NCHINI.

Ni bajaji inayotumia umeme haia muungurumo, haichafui mazingira yaitwa Felice International.
Ni wananchi wa jijini Dar es salaam wakidadisi bodaboda hiyo iliyo mahsusi kwaajili ya abilia.
Udadisi ukiendelea katika eneo la Magomeni Usalama.
Bajaji hii inauwezo wa kutembea kilomita 100 bila kuchaji betri, Picha na Zephania Mandia. 

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.